Pembeni mwa Mkutano wa COP28.. Al-Azhar yatoa wito kwa wanadamu kusimamisha mauaji ya kigaidi
     Kutoka ujumbe wa Imamu Mkuu kupitia mtandao wa X kwa mnasaba wa mkutano wa COP 28 unaofanyika nchini Falme za Kiarabu: Ninatuma wito, bali kilio kutoka kwa mwislamu wa kawaida, ambaye anaugua uchungu kwa ajili ya wanyonge,...
Sunday, 3 December, 2023
Ugaidi wa Kifikra .. Dhana yake, Chanzo chake na Namna ya Kujikinga nao
Imeandaliwa na Dkt.; Alaa Salah Abdulwahed
Friday, 1 December, 2023
Taarifa ya Al-Azhar katika siku ya kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina
     Al-Azhar: kumbukumbu ya kuigawanya Palestina ni kumbukumbu chungu zaidi katika historia ya kibinadamu ya kisasa. Al-Azhar yatoa wito kwa ulimwengu kuunga mkono Wapalestina ili kurejesha ardhi na haki zao. Al-Azhar katika...
Wednesday, 29 November, 2023
Kwa mujibu wa maelekezo ya Sheikh_wa_Al Azhar.. msafara wa tatu wa misaada wapita bandari kavu ya Rafah ili kuwaunga mkono ndugu zetu wenyeji wa Gaza
     Msafara wa tatu wa misaada unaotoka Baiti ya Zaka na Sadaka ya kimisri ulipita leo jumanne bandari kavu ya Rafah ili kuingia ukanda wa Gaza kwa ajili ya kuwaunga mkono na kuwasaidia familia na ndugu zetu huko Gaza, ukiundwa na...
Tuesday, 28 November, 2023
Nafasi ya Mwanamke katika Kujenga Jamii
Imeandaliwa na Dkt.; Alaa Salah Abdulwahed
Thursday, 23 November, 2023
124678910Last