Watoto wapiganaji kwenye kundi la Daesh
     Kwa mujibu wa mfumo wa kituo cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kuhusu kuangalia na kufuata makundi ya kigaidi ili kutambua mbinu za kisasa  na dhana yanazozieneza kupitia fikra zake kali, Kituo hicho kimetoa...
Sunday, 10 February, 2019
Hijrah Ya Mtume wetu Muhammad (S.A.W) “Mafundisho na Mafunzo”
   Wasomaji wetu waheshimiwa!!! Jueni Zaidi Kuwa Kalenda ya Hijriy imeanzia pale Mtume Muhammad (s.a.w.), pamoja na Maswahaba wake, walipohama Makkah na kwenda Madinah, kukimbia dhuluma za makafiri. Vile vile! Hijrah inatukumbusha...
Friday, 14 September, 2018
Tuhuma ya kutoka mwanamke nje ya nyumba yake kwa ajili ya kufanya kazi
      Kundi la Daesh linatoa Fatwa kwa kutojuzu kwa mwanamke kutoka nje ya nyumba yake kwa ajili ya kufanya kazi, likitegemea dalili zifuatazo: Kauli ya Mwenyezi Mungu: {Na kaeni majumbani kwenu}, [Al-Ahzab:...
Tuesday, 4 September, 2018
Tuhuma ya kuhalalisha kumwua asiye mwislamu
     Kundi la Daesh limezitegemea dalili zifuatazo kutoka Qurani Tukufu ili kuhalalisha kuwaua wasio waislamu na kila anayehitilafu nao. Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema :{ Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe...
Friday, 31 August, 2018
Ziara ya Imamu mkuu Kwa Ureno
     Mheshimiwa Imamu Mkuu Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharief profesa Ahmad Altayib Rais wa  baraza la wakuu wa waislamu ameondoka  ‎Misri asubuhi ya jumatano 14 machi, akifanya ziara ya nje inayokusanya nchi mbili...
Friday, 16 March, 2018
12345678910Last