Al-Azhar Al-Sharif: Golan ni eneo la Syria la kukaliwa hakuna uhalali wa mamlaka ya ukoloni
     Al-Azhar Al-Sharif‎ inalaani taarifa ya utawala wa Marekani siku ya Alhamisi jioni kuhusu kuusaidia utawala‎ wa kiyahudi unaodaiwa dhidi ya eneo la Golan la Syria linalokaliwa. Al-Azhar Al-Sharif inasisitiza...
Tuesday, 26 March, 2019
Wakati wa mkutano wa Imamu Mkuu wa Al-Azhar na balozi wa New Zealand mjini Cairo: Imamu Mkuu wa Al-Azhar anasifu kwa msimamo wa waziri mkuu wa New Zealand kuhusu shambulio la Christchurch
     Mwanzoni mwa mkutano huo, balozi huyo amefikisha rambirambi ya serikali ya New Zealand chini ya uongozi wa “Jasinda Arden” kwa Imamu Mkuu kuhusu wahanga waliokufa katika shambulizi la kigaidi lilolengea...
Thursday, 21 March, 2019
Al-Azhar yalaani mashambulizi ya kigaidi juu ya misikiti miwili Nizolanda.. na inasisitiza: kiashirio hatari cha kuzidika hotuba ya chuki na Islamophopia
     Al-Azhar Al-Sharif pamoja na Imamu yake mkuu profesa/Ahmad Attayib; Shekhi wa Azhar inalaani mashambulizi mabaya ya kigaidi yaliyolenga misikiti miwili mjini "Christchurch" huko Nizolanda, wakati wa kutekeleza...
Friday, 15 March, 2019
Kituo cha habari cha AL ـAzhar AL- SHARIF: Imamu mkuu Hakuashiria kamwe kukataa au kuharimisha kuwaoa zaidi ya mwanamke mmoja
     Kituo cha habari cha AL‎ـAzhar AL- SHARIF‎ kimefuatilia yaliyonukuliwa  na baadhi ya mitandao ya kieliktronika na mitandao ya kijamii kuhusu kipindi cha tarehe 1 mechi 2019 A.D. cha Programu ya ...
Saturday, 9 March, 2019
Watoto wapiganaji kwenye kundi la Daesh
     Kwa mujibu wa mfumo wa kituo cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kuhusu kuangalia na kufuata makundi ya kigaidi ili kutambua mbinu za kisasa  na dhana yanazozieneza kupitia fikra zake kali, Kituo hicho kimetoa...
Sunday, 10 February, 2019
123468910Last