Hija ni wito wa Kuimarisha Mshikamano na Umoja wa Waislamu
     Hapana shaka kwamba lengo la kwanza la Hija ni kuzidisha kumuelekeza mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kumfanya kuwa mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, na kuimarisha uhusiano kwake na kuiingiza kwa ndani zaidi imani katika moyo...
Thursday, 30 July, 2020
Hatari za makundi ya kigaidi katika afrika pamoja na kueneza janga la Corona
     Katika wakati ambayo nchi za Kiafrika zinapambana na janga la Corona ambalo limeeneza kwa njia kubwa katika nchi zote za Afrika, kwa mfano idadi ya watu waliombukizwa virusi vya Corona nchini Kenya sasa imefikia zaidi ya elfu...
Sunday, 5 July, 2020
Elimu sahihi ni kinga kwa vijana na jamii dhidi ya fikra kali
     Tukio la siasa kali na ugaidi ni moja ya matukio yanayoenea sana ulimwenguni, mpaka yakawa kama kilele cha mgogoro wa kwanza wa ustaarabu ambayo tunaishi leo. Hakuna nchi fulani ambayo haina kundi linalobeba silaha au angalau...
Monday, 29 June, 2020
Taarifa ya Al Azhar kuhusu Libya
     Al-Azhar inaunga mkono msimamo wa Misri kuhusu kila inayohusiana na hatua za kuhifadhi usalama wa kitaifa wa Misri na kulinda mipaka yake. Al-Azhar inaunga mkono suluhisho la amani nchini Libya na inatoa wito tena kwa ajili...
Tuesday, 23 June, 2020
Katika siku ya kimataifa ya wakimbizi: kukimbia na kuacha nyumba ni suala la kibinadamu katika kiwango cha kwanza
     Kamishna kuu ya masuala ya wakimbizi ya umoja wa matiafa imesambaza katika ripoti yake ya mwaka "mieleko ya kimataifa" Na imetaja kuwa idadi ya wakimbizi na wanaotaka kukimbia imefika milioni 79,5 katika mwaka...
Tuesday, 23 June, 2020
First34568101112Last