Uadilifu kati ya mwanamume na mwanamke
     1- Dini yetu inakataza kuwadhulumu au kuwapunguza haki za wanawake, bali imewahimiza waumini wawe na uadilifu na kutotenganisha baina ya msichana na mvulana, ikizingatia kwamba kufanya hiyo ni njia kubwa ya kupata ridha...
Wednesday, 22 November, 2017
Uraia
       Aghlabu ya wanazuoni wanaoona kwamba uraia ni badala ya mkataba wa dhima, wanakubaliana kwamba hati ya kwanza iliyoandikwa na Mtume (S.A.W) ni (hati ya Al-Madinah) inayozingatiwa kuwa ni dalili ya kiislamu iliyo nguvu...
Tuesday, 21 November, 2017
Maadili ya Kibinadamu Kupambana na Fikira Kali
     1- Sheria zote za mbinguni zimeafikiana kuhusu maadili ya kibinadamu, na kwamba yeyote atakayevunja maadili hayo basi atakuwa hajakwenda mbali na muktadha ya dini tu, bali amekwenda mbali na ubinadamu wake na maumbile...
Monday, 20 November, 2017
Kufanya upya katika Dini ya Uislamu
-    Sio maana ya kufanya upya au luleta mageuzi mapya katika dini kuziporomosha nguzo za dini hiyo au kupuuza misingi yake, bali inamanisha kujaribu kuboresha ufahamu wa matini za dini na kutekeleza mafunzo yake kwa mujibu wa...
Monday, 20 November, 2017
Daesh: kujiunga na nchi kunapingana na kujiunga na Uislamu!
     Kwa kweli hakuna upingano baina ya kujiunga na nchi au taifa na kujiunga na dini, ila ikiwa kujiunga na nchi kutasababisha kuvuka makatazo ya Mwenyezi Mungu. Ama mwislamu akijiunga na dini yake, nchi yake na watu wake...
Saturday, 18 November, 2017
First567810121314Last