Nafasi ya Mwanamke na Vidhibiti vya kazi kwake kwa Mtazamo wa Kiislamu
           Inafahamika kwamba mwanamke ana nafasi kubwa katika jamii, mpaka huitwa "Nusu ya Jamii", ambapo mwanamke amepewa nafasi, majukumu na cheo anachoshirikiana na mwanamme kutekeleza wajibu...
Sunday, 27 March, 2022
Kuua katika miezi mitakatifu ni haramu, huenda kinyume cha sheria ya Kiislamu
       Miezi  mitakatifu ni miezi ambayo Mwenyezi Mungu Mtukufu Ameharamisha kupigana, nayo ni miezi minne, Muharram, Rajab,  Dhul-Qa'dah, na Dhul-Hijjah, ambapo Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema; (Hakika...
Monday, 28 February, 2022
Dhana ya Uraia kati ya mtazamo wa sheria ya kiislamu na uelewa wa makundi ya kigaidi
       Miongoni mwa sifa za kimaumbile na hisia za kibinadamu ambazo wanadamu wameumbwa nazo, hisia ya kuipenda nchi na kusikia fahari kwa kujiunga nayo, ambapo yeyote mwenye akili timamu huwa na hamu ya kuitetea nchi yake...
Tuesday, 4 January, 2022
Al-Azhar ni Kibla cha kisayansi na marejeo ya kidini kwa Waafrika
     Bila shaka, jukumu la kimsingi liliyofanywa na Al-Azhar barani Afrika katika masuala ya misaada na katika nyanja za elimu na afya na kutuma misafara ya kisayansi, ulinganiaji na matibabu halifichwi na mtu yeyote, hadi kwamba...
Tuesday, 23 November, 2021
Daraja ya Tasawwuf katika Uislamu
     Inapotaja Tasawwuf ilizuka machoni sura iliyobabiwa kwa wafuasi wa twariqa mbalimbali, wanapanguliwa wakati wa mahafala  ya kidini katika  zafa zilizoona sauti ya kivumi (ya juu sana sauti ya kilele) ,wanahudumu...
Tuesday, 21 September, 2021
First1920212224262728Last