Elimu sahihi ni kinga kwa vijana na jamii dhidi ya fikra kali
     Tukio la siasa kali na ugaidi ni moja ya matukio yanayoenea sana ulimwenguni, mpaka yakawa kama kilele cha mgogoro wa kwanza wa ustaarabu ambayo tunaishi leo. Hakuna nchi fulani ambayo haina kundi linalobeba silaha au angalau...
Monday, 29 June, 2020
Taarifa ya Al Azhar kuhusu Libya
     Al-Azhar inaunga mkono msimamo wa Misri kuhusu kila inayohusiana na hatua za kuhifadhi usalama wa kitaifa wa Misri na kulinda mipaka yake. Al-Azhar inaunga mkono suluhisho la amani nchini Libya na inatoa wito tena kwa ajili...
Tuesday, 23 June, 2020
Katika siku ya kimataifa ya wakimbizi: kukimbia na kuacha nyumba ni suala la kibinadamu katika kiwango cha kwanza
     Kamishna kuu ya masuala ya wakimbizi ya umoja wa matiafa imesambaza katika ripoti yake ya mwaka "mieleko ya kimataifa" Na imetaja kuwa idadi ya wakimbizi na wanaotaka kukimbia imefika milioni 79,5 katika mwaka...
Tuesday, 23 June, 2020
Kinachodhuru labda kinafaa .. Janga la Corona kama ni mfano
     Katikati ya matukio ya kihistoria yasiyo na pumzi ambayo ulimwengu wetu wa kisasa huenda haujaona mifano yake hapo kabla, picha inaonekana mbaya kiasi fulani, lakini katikati ya giza hilo lililojaa wingu, wengine hugundua kuwa...
Sunday, 31 May, 2020
Imamu mkuu apongeza Papa Tawadros na Wakristo kwa pasaka ya kikristo
     Mheshimiwa Imamu mkuu, Prof. Ahmad El-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, amepiga simu na utakatifu wa Papa Tawadros II, papa ya Alexandria na Patriarki wa kanisa kuu, Kumpongeza kwa Pasaka ya Kikristo. Wakati wa mazungumzo...
Thursday, 16 April, 2020
First2627282931333435Last