Akipokelewa na mapokezi na mazingatio kubwa ya kirasmi na kitaifa …. Imamu Mkuu awasili mji mkuu wa Nigerea Abuja ... Kesho atoa hotuba kwa mataifa wa bara la Afrika
Kabla ya muda chache, Mheshimiwa Imamu mkuu profesa; Ahmad Al-Tayyib sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif na mkuu wa baraza la wakuu wa waislamu, amefika mji mkuu wa Nigeria, Abuja, ambapo inatazamiwa kwamba atakutana na Rais wa Nigeria Muhammad...
Monday, 16 May, 2016
Katika ziara yake ya kwanza barani Afrika… Leo..Mheshimiwa Imamu Mkuu aondoka akielekea Abuja.. ambapo atafanya mazungumzo na Rais wa Nigeria njia za kupambana na mawazo makali
Mheshimiwa Imamu mkuu profesa; Ahmad Al-Tayyib sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif na mkuu wa baraza la wakuu wa waislamu, atasafiri hivi leo jumatatu akielekea mji mkuu wa Nigeria, Abuja, ambapo inatazamiwa kwamba atakutana na Rais wa Nigeria...
Monday, 16 May, 2016
Katika ziara yake ya kwanza barani Afrika… Mheshimiwa Imamu Mkuu afanya ziara nchini Senegal na Nigeria kwa lengo la kuimarisha maadili ya amani na kueneza mawazo ya kukubaliana
Mheshimiwa Imamu mkuu profesa; Ahmad Al-Tayyib sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif na mkuu wa baraza la wakuu wa waislamu katika kipindi cha siku chache zijazo ataanza ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu kushika madaraka ya kuendesha...
Tuesday, 10 May, 2016
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti" Katika Chuo Kikuu cha Monester, Ujerumani
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti" Katika Chuo Kikuu cha Monester, Ujerumani Bibi Mheshimiwa Profesa; Orsola Neles Mkuu wa Chuo Kikuu cha Monester Enyi Mabwana Wanavyuoni Maprofesa na...
Saturday, 19 March, 2016
Imamu Mkuu katika mkutano wake na Askofu wa Kanisa la Kiinjili mjini Berlin, Ujerumani
Imamu Mkuu katika mkutano wake na Askofu wa Kanisa la Kiinjili mjini Berlin, Ujerumani: •    Ziara yangu mjini Berlin inalengea kuhuisha uhusiano wa kudumu baina ya dini mbili Uislamu na Ukristo. •  ...
Friday, 18 March, 2016
First6364656668707172Last