Imam Mkuu akutana na timu «Enactus Al-Azhar» akisifu uwakilishi wao wa heshima kwa Misri
Imam Mkuu amesema kwamba "Enactus wa Al-Azhar": ni mfano wa heshima kwa mwanafunzi wa Al-Azhar, ambaye ana faida kwa nchi na ubinadamu wake ----------
Imam Mkuu, Profesa Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif,...
Wednesday, 16 September, 2020