Dhana ya Jihad 11
Je, waislamu wanawapigania vita wengine kwa sababu ya uadui wao au kwa sababu ya ukafiri? Jibu lililokubaliwa na maulamaa wa waislamu kwa kutegemea Qurani Tukufu na misimamo ya Mtume na wasio waislamu: ni kwamba sababu ya msingi ya kuwaruhusia...
Sunday, 31 July, 2016
Dhana ya Jihad 8
Maadui wakiishambulia nchi moja ya kiislamu ghafula wakaiingia na majeshi ya nchi hiyo wakahitaji msaada kutoka kwa wananchi wa kawaida, basi papo hapo kila mwislamu hutakiwa kufanya jihad ya kupambana na maadui hao akitumia kila anacho nacho...
Sunday, 31 July, 2016
Dhana ya Jihad 9
Kwa kweli aya za mwanzo kabisa kuteremshwa kuhusu uagizo kwa kupigania vita ndiyo kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W.): "[Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia]...
Sunday, 31 July, 2016
Dhana ya Jihad 7
Jihad ya binafsi - mapigano - ni faradhi isiyopitishwa juu ya kila mwislamu kwani majeshi ya nchi yanawawakilisha waislamu kutekeleza faradhi hiyo ambapo waliobaki hawalazimishwi kwa faradhi hiyo wala hawatalaumiwa kwa sababu ya kutoifanya mbele...
Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 6

Haikubaliki kusema kwamba madamu Jihad ni faradhi katika Uislamu, basi kila mwislamu huwa na haki ya kujihami kwa upanga au silaha na kuwapigania vita wengineo, kwa hakika kufanya hivyo uhalifu na kosa kubwa.

Wednesday, 27 July, 2016
First5354555658606162Last