Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chapokea Waziri wa Mambo ya nje wa Serbia na ujumbe ulioandamana naye ili kutambua juhudi zake katika kupambana na fikra kali
     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kilipokea, leo, Jumatatu, Agosti 23, Waziri wa Mambo ya nje wa Serbia Nikola Silakovic, na ujumbe ulioandamana naye; Ili kutambua juhudi za kituo katika uwanja wa...
Monday, 23 August, 2021
Dhana ya Hijra kati ya mtazamo wa sheria ya kiislamu na uelewa wa makundi ya kigaidi
    Miongoni mwa dhana zinazotumika kinyume na ukweli wake na kuchafuliwa na makundi ya kigaidi dhana ya "Hijra" ambayo ina nafasi kubwa katika Uislamu, ambapo inaashiria tukio la kihistoria la kutangaza mageuzi makubwa...
Sunday, 15 August, 2021
Sheikhi wa Al Azhar ampongeza Rais Al Sisi na umma wa kiislamu kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijra
     Mheshimiwa Imam Mkuu Profesa/ Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al_Azhar Al-Sharif, anatoa pongezi kwa Raisi wa Misri Abdel Fattah Al-Sisi, na waislamu wote ulimwenguni kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijra, akimwomba Mwenyezi Mungu...
Saturday, 7 August, 2021
Mchango wa Malezi Bora katika Kupambana na Fikra Kali
    Bkila shaka jamii yoyote inahitaji kuwa na misingi ya kuijenga na kuipa nguvu ya kuendelea duniani na kupambana na majanga na matatizo yanayoikumba. Misingi hiyo ni kama vile; malezi, mshikamano, umoja, uadilifu n.k., ingawa...
Sunday, 18 July, 2021
kimetangulizwa na Mheshimiwa Imamu Al Tayyib na Baba Mtakatifu Francis...
     kimetangulizwa na Mheshimiwa Imamu Al Tayyib na Baba Mtakatifu Francis, na viongozi kadhaa na wahusika wakuu wa kimataifa wa kisiasa na kitamaduni walitoa maoni yao. kimetangulizwa na Mheshimiwa #Imamu_Al_Tayyib na Baba...
Sunday, 4 July, 2021
First4950515254565758Last