Mabadiliko ya tabia nchi yanasababisha ukosefu wa chakula, umaskini na uhamiaji wa makazi barani Afrika
     Viashiria vya tabia nchi barani Afrika vimekuwa na sifa ya hali joto inayoendelea, kupanda kwa kina cha bahari, na matukio mabaya ya tabia nchi, kama vile mafuriko, maporomoko ya ardhi na ukame, na athari zake...
Sunday, 13 November, 2022
Dalili za kuharamisha Ugaidi kwa sura zake zote
     Uislamu ndiyo dini ya maumbile mazuri, rehema, amani na usalama, kwa hiyo waislamu wanatakiwa kuepukana na kitendo chochote kinacho pelekea kuvuruga hali ya jamii au kusababisha ghasia na fujo katika nchi. Pia, dini hiyo...
Tuesday, 4 October, 2022
Mwenendo wa Imamu katika kuimarisha amani duniani
     Hapana shaka kwamba juhudi za Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al_Azhar Al-Sharif, katika kuimarisha maadili na kuweka misingi ya amani katika sehemu mbalimbali za dunia, hasa katika bara la Afrika, ambapo imamu...
Sunday, 25 September, 2022
Viongozi wa dini dhidi ya mapenzi ya jinsia moja
     Kwa kufuatilia majaribio ya kuingiza mawazo potofu ambayo yanayokwenda kinyume na dini zote za mbinguni na kuyalazimisha kwenye jamii, kituo cha uangalizi cha Al_Azhar cha kupambana na fikra kali kilifuatilia mikutano ya...
Tuesday, 5 July, 2022
Hotuba ya Kuaga ya Mtume (S.A.W.) ni Azimio la Kwanza la Amani ya Kimataifa
       Katika siku kama hizi, Mtume (S.A.W.) alisimama akihotubia waumini, bali wanadamu wote kwenye siku ya Arafa katika Hijja ya Kuaga, ambapo alitoa maneno mazito ya kusisitiza namna ya kuishi baina ya wanadamu kwa...
Tuesday, 28 June, 2022
First4647484951535455Last