Daesh: kuwasiliana na kutendeana na asiye mwislamu inavunja msingi wa utii "Al-Walaa" na uasi "Al-Baraa" katika Uislamu
      Kutendeana na asiye mwislamu na kusaidiana naye katika mambo, maslahi za pamoja haiwezekani kuwa haramu, na dalili ya hayo ni kwamba Mtume (S.A.W) alitendeana na akawasiliana na wasio waislamu na hakukataza kufanya...
Monday, 25 September, 2017
Daesh: Kumpenda asiye mwislamu ni ukafiri
     Maneno haya ni makosa kwani Mtume (S.A.W) alikuwa anampenda ami yake Abu Talib ingawa alikuwa hafuati Uislamu, bali Qurani Tukufu ilithibitisha kuwepo upendo wa kimoyo kwa wasio waislamu, ambapo Mwenyezi Mungu Amesema:...
Friday, 22 September, 2017
Daesh: waislamu wanapaswa kutokubali mfumo wowote wa kisiasa isipokuwa Khilafa iliyoletwa na Uislamu
      Mfumo wa utawala katika Uislamu hutegemea hali ya watu na desturi zao kwa sharti ya kutokuwa na kanuni  inayopinga sheria ya Mwenyezi Mungu (S.W), ambapo haikuwepo aya moja au hadithi moja wazi na sahihi...
Tuesday, 19 September, 2017
Suala la kuvaa (Shela) Niqaab
     Katika wakati huu tuhuma zinazohusiana na (Shela) Niqaab zinajadiliwa sana na kusema kwamba ni uzushi ulioingizwa katika jamii ya kiislamu, ilhali ukweli ni kwamba tuhuma hii ni kinyume cha kauli isemayo kwamba kuvaa...
Sunday, 17 September, 2017
Al-Azhar Al-Shareif yatoa wito kwa kuwaokoa waislamu wa Rohinga kutoka uadui na maangamizi
     Japokuwa hali ya kukaa kimya iliyotawala ulimwenguni kote kuhusu maangamizi yanayowapata waislamu walio chache wa Rohinga kwenye jimbo la Rakhin, nchini Myanmar Al-Azhar Al-Shareif hakusita kutoa wito kwa kuwasaidia...
Friday, 15 September, 2017
First4243444547495051Last