Kuhusu istilahi ya "Waliopotea"
     Kuhusu istilahi ya "Waliopotea" katika kauli yake Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Siyo ya waliokasirikiwa, wala waliopotea}, [Al-Fatihah:7]. Ilhali istilahi ya "waliopotea" iliyotajwa katika sura ya...
Saturday, 4 November, 2017
Dalili na hoja zinazozuia kumkafirisha mwislamu (3)
     Wanachuoni wengi wamelizungumzia suala la kumkufurisha mwislamu, kutokana na umuhimu na cheo hatari katika historia na mawazo ya kiislamu kupitia historia ya kiislamu, na mifano ya wanachuoni hao ni yafuatayo: Kwanza:...
Wednesday, 1 November, 2017
Dalili na hoja zinazozuia kumkufurisha mwislamu (2)
     Hakika dalili na hoja zinazozuia kumkufurisha mwislamu ni wazi sana na zinachukuliwa kutoka Qurani na Sunnah ya Mtume (S.A.W) na kutoka urithi wa kale wa Uislamu ulio safi sana, na kufuatia yaliyotangulia kutajwa kutoka...
Monday, 30 October, 2017
Dalili na hoja zinazozuia kumkufurisha mwislamu (1)
     Baadhi ya wasomi wanaofuata Ahlul-Sunna wanaona kwamba madhehebu sahihi ni: imani inayokuwa mchanganyiko kati ya itikadi na utendaji kazi, na kwamba kukiri hakutoshi katika kuhakikisha imani, na mtazamo huu tukiuzungumzia...
Saturday, 28 October, 2017
Udugu wa Manabii na Uislamu wa kimataifa (4)
     Mahitaji ya Uislamu wa kimataifa Hakika Uislamu wa kimataifa unawajibisha juu ya wafuasi wake wawe na sifa kadhaa, na miongoni mwa sifa hizo zifuatazo: 1.    Waislamu ni lazima wadhihirishe ruwaza njema...
Thursday, 26 October, 2017
First3940414244464748Last