Al-Azhar Al-Shareif yatoa Misaada ya Haraka kwa Wapalestina wa Gaza
       Mheshimiwa Imamu mkuu aamuru kupeleka msafara kutoka wa Baiti ya Zaka na Sadaka kwa Ukanda wa Gaza, unaoundwa na lori 18 zinazojazwa na Dawa, vyakula, na misaada. Jumanne jioni msafara wa Baiti ya Zaka na Sadaka ya...
Tuesday, 24 October, 2023
Utukufu wa Damu, Mali na Heshima katika Uislamu
Imeandaliwa na; Dkt. Alaa Salah Abdulwahed
Monday, 23 October, 2023
Al-Azhar na Suala la Palestina Misimamo ya Kihistoria
Imeandaliwa na: Dkt. Alaa Salah & Bw. Eslam Ragab
Thursday, 19 October, 2023
Imamu Mkuu wa Al-Azhar: Tuko tayari kuongeza idadi ya tuzo za masomo kwa wanafunzi wa Rwanda
     Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Profesa/ Ahmad Al-Tayyeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, amepokea Balozi/ Nermin Al-Zawahri, Balozi wa Misri nchini Rwanda, ili kujadili njia za ushirikiano wa Al-Azhar na Rwanda katika nyanja...
Wednesday, 18 October, 2023
Wito ya Al-Azhar Al-Shareif kwa Umma wa kiarabu na wa kiislamu
     Umma wa kiarabu na wa kiislamu wanapaswa kuangalia upya tena kwa makini kuhusu faida ya kuwategemea madhalimu wamagharibi wa Ulaya – Marekani, ilhali wapalestina wanatakiwa kuwa na imani ya kwamba wale madhalimu wa kambi...
Wednesday, 18 October, 2023
First3839404143454647Last