Daesh: Kutowakufurisha wafanyao madhambi hasa watawala wasiohukumu kwa sheria ya Mwenyezi Mungu ni miongoni mwa vitendo vya kundi la Murji’a na sio miongoni mwa vitendo vya Ahlul-Sunna na Jamaa
     Madhehebu ya Maimamu wa waislamu kutoka enzi ya Mtume Muhammad (S.A.W) mpaka siku ya hivi sasa yanaeleza kwamba anayefanya madhambi hata yakiwa ni madhambi makubwa hubaki Mwislamu na ni lazima tuombe dua Mwenyezi Mungu...
Sunday, 8 October, 2017
Daesh: kuhama kutoka nchi za ukafiri kwa nchi za Uislamu ni wajibu juu ya kila Mwislamu, kwa mujibu wa kauli ya Mtume (S.A.W): kuhama haiishi madamu Makafiri wangalipiganiwa
     Kwa hakika walichukua vipande vya baadhi ya matini za kisheria wakipuuza kwa makusudi vipande vingine kama vile zile hadithi zinazokanusha uwajibu wa kuhama "Hijrah", kama kauli yake Mtume (S.A.W) iliyosimuliwa...
Wednesday, 4 October, 2017
Daesh: Khilafa ni wajibu wa kisheria isiyokubali kuwepo mfumo mwingine wa kisiasa na kwamba Khilafa ndio mfumo wa pekee wa utawala katika Uislamu
     Khilafa katika lugha ni kutoka tamko la خلفه يخلفه kwa maana ya alimfanya nyuma yake basi yeye ni خليفة naye ni yule anayefuata aliyemtangulia. Na katika Istilahi khilafa ni: kuendesha mambo ya dunia na kuwachunga waja...
Sunday, 1 October, 2017
Daesh: kumpwekesha kuna Sehemu kadhaa, kama kupwekesha Hakimiyah, yaani kukiri kwamba hukumu ni kwa Mwenyezi Mungu peke yake, na kwamba anayehukumiana kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, basi ni mkafiri
     Al-hakimiyyah (Utawala) ni istilahi ya kisasa iliyotumiwa kwa mara ya kwanza na "Abu Al-Aa'la Al-Maududi" alipokuwa anajitahidi kupata uhuru wa nchi yake kutoka mkono wa ukoloni wa Uingereza, na wakati...
Thursday, 28 September, 2017
Daesh: kuwasiliana na kutendeana na asiye mwislamu inavunja msingi wa utii "Al-Walaa" na uasi "Al-Baraa" katika Uislamu
      Kutendeana na asiye mwislamu na kusaidiana naye katika mambo, maslahi za pamoja haiwezekani kuwa haramu, na dalili ya hayo ni kwamba Mtume (S.A.W) alitendeana na akawasiliana na wasio waislamu na hakukataza kufanya...
Monday, 25 September, 2017
First4142434446484950Last