Tuhuma ya kumkafirisha mwingine
      Tuhuma hii ni miongoni mwa tuhuma zinzokaririwa na makundi yenye misimamo mikali kama "kundi la Taliban Na kundi la Daesh", ili yahalalishe halifu na vitendo vyao vya kikatili, na ili kuwavuta wenye akili dhaifu na...
Tuesday, 29 August, 2017
Tuhuma ya kubomoa mabaki ya kale wakidai kuwa ni masanamu
Kundi la Daesh limedai kwamba inapaswa kuharibu na kubomoa masanamu na mabaki ya kale ya dola ya Ashuria yaliyopo mjini Mosel nchini Iraq, wakidai kuwa na masanamu, wakitegemea hadithi za Mtume (S.A.W) na kauli zilizonukuliwa kutoka kwa maswahaba...
Sunday, 27 August, 2017
Hakimiyah "Utawala" na tuhuma ya kuwakufurisha watawala
Daesh na makundi mengineyo ya kitakfiri  yanadai kwamba watawala wa nchi za kiislamu ni makafiri kwani wanaziunga mkono serikali kafiri za kimagharibi, na kuzisaidia kuwauwa waislamu, zaidi ya hayo wao hawahukumu kwa sheria ya Mwenyezi...
Thursday, 24 August, 2017
Mkutano wa Imamu Mkuu na Rais wa Somalia
Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Profesa; Ahmad Al-Tayyib alimpokea leo Bwana Mohammad Abdullah Farmajo Rais wa Somalia aliyeanza ziara rasmi nchini Misri leo. Mwanzoni kabisa Imamu Mkuu alimpongeza Bwana Farmajo kwa ushindi wake katika uchaguzi...
Monday, 21 August, 2017
Daesh: Utii (Al-Walaa) unamaanisha miamala tu, na pia unamaanisha upendo wa kibinadamu, ama uasi (Al-Baraa) humaanisha kumkafirisha mwengine na kumwua, kwa hiyo utii kwa mujibu wa maoni yao - unakuwa
Utii ni ahadi ya ibada, asili yake ni kumpwekesha Mwenyezi Mungu kwa kumtii pekee katika kila kitu, na pia kumpenda Mtume (S.A.W) kwa kumheshimu, kumfuata na kumnusuru, kisha kuwapenda waumini kupitia kuimarisha uhusiano wa undugu kwa ajili ya...
Monday, 21 August, 2017
First4445464749515253Last